JOHN BOCCO ASEMA ANASUBIRI KUIUA YANGA AKIWA SIMBA


STRAIKA mpya wa Simba John Bocco aliyesajiliwa kutoka Azam FC,  ameanza kuchimba mkwara dhidi ya Yanga.

Bocco aliyekuwa nahodha wa Azam,  amesema mechi anayoisubiri kwa hamu ni ile itakayowakutanisha na Yanga kwenye Ngao ya Jamii Agosti 23, mwaka huu ambayo anaamini ataendeleza rekodi yake kutikisa nyavu za wana wa Jangwani.

No comments