JOHN TERRY ATAJA SABABU YA KUAMUA KUJIUNGA NA ASTON VILLA

BEKI na nahodha wa zamani wa Chelsea, John Terry amesema ameamua kujiunga na klabu ya Aston Villa ambayo haiko Ligi Kuu kwa sababu maalum.


Terry amesema kwamba kujiunga na klabu hiyo kuna maana kwamba hataki kukutana na klabu yake ya Chelsea anayoipenda.

No comments