JUAN MATA KUSAINI MKATABA MPYA MAN UNITED WAKATI WOWOTE

KIUNGO wa Manchester United, Juan Mata, inasemekana kuwa mbioni kusaini mkataba mpya na klabu hiyo ya Old Trafford.


Gazeti la The Sun liliripoti jana kwamba kiungo huyo naye ana hamu kubwa ya kusaini mkataba huo, jambo ambalo linawafanya mashabiki wa Man Utd na klabu kuwa na furaha kutokana na kwamba watajadiliana naye bila usumbufu.

No comments