JURGEN KLOPP AWACHIMBA MKWARA MZITO WASHAMBULIAJI WAKE

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp ametishia kutembeza panga kwenye safu yake ya ushambuliaji endapo msimu ujao watashindwa kuonyesha makali yao.


Hadi sasa kocha huyo ameshaongeza nguvu kwenye safu hiyo kwa kuwasajili Mohammed Salah kutoka AC Roma na huku tayari Dominic Solanke vilevile akiwa ameshawasili.

No comments