JUVENTUS YAMWEKEA "GUU" ALEX SANDRO KUTUA CHELSEA

MPANGO wa Chelsea kumsajili beki wa kushoto Alex Sandro umekwamishwa na klabu yake ya Juventus.


Mkurugenzi mkuu wa Juve, Giussepe Moratta amethibitisha kuwa ameitupiliambali ofa ya Chelsea kwa staa huyo.

No comments