KIUNGO ROSS BARKLEY WA EVERTON APIMA UPEPO WA KUSEPA MAJIRA YA JOTO

KIUNGO wa timu ya Everton, Ross Barkley bado anaangalia uwezekano wa kuondoka kwenye kikosi hicho katika uhamisho wa majira ya joto.


Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza ambaye amehusishwa na tetesi za kujiunga na Arsenal na Tottenham, anaamini ni lazima ahame klabu hiyo ili aweze kulinda nafasi yake kwenye timu ya taifa.

No comments