KLABU ZA LIGI KUU UTURUKI ZAMWANIA LUCAS PEREZ WA ARSENAL

FOWADI wa Arsenal ambaye amekuwa akihaha kupata nafasi kikosini Lucas Perez anawaniwa vikali na klabu tajiri za Ligi Kuu Uturuki.


Kwa mujibu wa wakala wake, Rodrigo Fernandez, nyota huyo anafukuziwa na klabu za Galatasaray na Fenerbahce.

No comments