KLOPP AISHAURI LIVERPOOL KUTAYARISHA OFA "PANA" KWA AJILI YA KYLIAN MBAPPE

JURGEN Klopp ameshauri uongozi wa Liverpool kuandaa ofa nono kwa ajili ya Kylian Mbappe (18), endapo straika huyo ataamua kuhamia England.


Mpaka sasa bado kinda huyo ameendelea kusuguana na uongozi wa klabu yake akisisitiza kutaka kuuzwa nchini Hispania katika klabu ya Real Madrid.

No comments