KLOPP AKATAA STURRIDGE KUACHANA NA LIVERPOOL

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp ameweka ngumu kwa mshambuliaji Daniel Sturridge kuiacha timu hiyo.


Klopp anaamini haitakuwa rahisi kuliziba pengo la straika huyo wa kimataifa wa England.

No comments