KLOPP AWAFANYIA "KAUZIBE" NAPOLI KWA BEKI WAKE ALBERTO MORENO... atupiliambali ofa yao ya pauni mil 11

LIVERPOOL wameitupilia mbali ofa ya pauni mil 11 kutoka kwa Napoli wanaomtaka beki Alberto Moreno, mtandao wa Times umedai.


Licha ya kutaka kuifanyia marekebisho makubwa safu ya ulinzi, bado kocha Jurgen Klopp haonyeshi kumchoka Moreno.

No comments