KURT ZOUMA AJIANDAA KUONDOKA CHELSEA KWA MKOPO BAADA YA KUKOSA UHAKIKA WA NAMBA

BEKI ya timu ya Chelsea, Kurt Zouma anajiandaa kuondoka kwa mkopo kwenye kikosi hicho baada ya kukosa namba ya uhakika msimu uliopita.

Zouma amepanga kwenda stoke city msimu ujao ili aweze kupata namba ya uhakika kabla ya kurejea kwenye ubora wake.


Msimu uliopita alifanikiwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu nchini England akiwa benchi.

No comments