KYLIAN MBAPPE ASEMA HANA UHAKIKA WA KUBAKIA MONACO


Kylian Mbappe amezungumzia juu ya hatma yake Monaco ambapo ameeleza kuwa hana uhakika atacheza timu gani msimu ujao.

Mshambuliaji huyo kinda mwenye umri wa miaka 18 amesema hadi dirisha la usajili litakapofungwa ndipo atakapojua hatma yake, lakini kwasasa hawezi kusema kama atabaki Monaco au la.

Kylian Mbappe anawindwa kwa karibu sana na Real Madrid. 


No comments