MANCHESTER CITY KUKAMILISHA DILI LA USAJILI WA DANI ALVES WIKI HII

MTANDAO wa Sun umesema kuwa Manchester City wataitumia wiki hii kukamilisha dili la kumsajili beki Dani Alves.

Chelsea na Tottenham pia wamekuwa wakiifuatilia huduma ya mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 34.

No comments