MANCHESTER CITY YAMSAJILI KYLE WALKER KWA PAUNI MIL 54


Manchester City imekamilisha usajili wa pauni milioni 54 wa beki kulia Kyle Walker kutoka Tottenham ambaye sasa anakuwa beki ghali zaidi duniani.

Walker amesaini mkataba wa miaka mitano  Etihad Stadium utakaompa mshahara wa pauni 130,000 kwa wiki. 

No comments