MANCHESTER UNITED YAANZA TENA KUMNYEMELEA ARTURO VIDAL

KLABU ya Manchester United imefufua upya kampeni za kumnasa kiungo Arturo Vidal raia wa Chile ambaye anakipiga katika kikosi cha Bayern Munich.

Misimu miwili iliyopita Manchester United ilifanya jaribio la kumsajili lakini ikashindikana kwa sababu ya taitizo lake la goti.


Jose Mourinho anamwitaji kiungo huyo ili kuboresha kikosi chake ambacho kilipata tiketi ya kushiriki kwenye michuano ya Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao.

No comments