MARCO VERRATTI ANUKIA BARCELONA... yadaiwa kujiandaa kuigomea PSG

IMEELEZWA kuwa huenda staa Marco Veratti akagomea maandalizi ya PSG kuelekea msimu ujao ili wakubali kumpeleka Barcelona.


Veratti amekuwa akifukuziwa na Barca kwa kipindi kirefu na sasa ameonyesha nia ya kuitaka timu hiyo.

No comments