MARQUINHOS ALAMBA MKATABA MPYA PSG... sasa kubaki klabuni hapo hadi 2022

UONGOZI wa PSG umefikia uamuzi wa kumpa mkataba mpya nyota wake, Marquinhos, mkataba mpya huo utamfanya Mbrazil huyo kubaki klabuni hapo hadi mwaka 2022.

No comments