MARSEILLE YAAMSHA MASHETANI YA KUMNG'OA OLIVIER GIROUD ARSENAL

KLABU ya Marseille imefufua tena mpango wake wa kumsajili mshambuliaji wa timu ya Arsenal, Olivier Giroud aliyekalia kluti kavu katika kikosi cha Arsene Wenger.
Usajili wa Lacazette unamuengua moja kwa moja Giroud kwenye kikosi cha kwanza huku pia uwepo wa Sanchez ukizidi kukoleza moto.

Hii ni mara ya pili kwa Marseille kumwinda mshambuliaji huyo baada ya kutofanikiwa kwanye dirisha lililopita.

No comments