MASHABIKI wa Yanga wamejawa na furaha baada ya kusikia kwamba klabu yao imefanikiwa kumrejesha tenas kundini straika wake raia wa Zimbwabwe Donald Ngoma aliyekuwa anawaniwa na Simba.

Ngoma amesaini tena mkataba wa miaka miwili Yanga baada ya kuwatikisa mabigwa hao kwamba alikuwa anakwenda Simba, huku pia kukiwa na habari kwamba amesaini klabu ya Polokane City FC ya Afrika Kusini.


Hata hivyo uhakika ni kwamba Ngoma alikuwa anawatikisa ili awafike mzigo anaotaka na kwamba mwanasoka huyo ameikomba Yanga kiasi cha dola 60,000 ambazo ni zaidi ya sh mil 120 za Kitanzania.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac