MICHAEL CARRICK NAHODHA MPYA MANCHESTER UNITED ...Ander Herrera msaidiziManchester United imemtangaza rasmi kiungo mkongwe Michael Carrick kama nahodha mpya wa klabu hiyo akirithi mikoba ya Wayne Rooney aliyejiunga na Everton.

Akizungumzia mipango yake, Carrick amesema beji hiyo ya unahodha haitambadilisha tabia yake ya upole na kuanza kuwafokea wachezaji wenzake.

Kiungo wa Kihispania Ander Herrera ametajwa kuwa nahodha msaidizi.

Michael Carrick nahodha mpya Manchester United

No comments