MONACO YAJA NA MKWARA MZITO JUU YA KYLIAN MBAPPE ...yatishia kwenda FIFA


HAKUNA dili ya kumng’oa Kylian Mbappe katika klabu ya Monaco na ni wazi kuwa mshambuliaji huyo chipukizi ataendelea kuichezea timu hiyo msimu ujao.

Aidha, Monaco imesema itakwenda FIFA kushitaki juu ya timu ambazo zimekuwa zikiwasiliana na Mbappe bila idhini ya klabu.

Timu zinazokisiwa kuripotiwa FIFA ni PSG na Manchester City ambazo nazo zimekuwa zikiwania saini ya kinda huyo.

No comments