MORATA ASEMA CHELSEA NI KLABU BORA, CONTE KOCHA BORA


Alvaro Morata aliwasili London mapema Alhamisi kwaajili ya usajili utakaovunja rekodi ya usajili kwa Chelsea ambapo kamera zilimmulika akiwa na mkewe Alice Campello kwenye uwanja wa ndege wa Heathrow.

Alipoulizwa kwanini anajiunga na Chelsea, Morata alisema: Kwasababu ni klabu bora. Antonio Conte ni mmoja wa makocha bora duniani na nina furaha kufanya kazi na Antonio"


No comments