MOURINHO APASUA LAIVU "SINA MPANGO WA KUACHANA NA MARCUS RASHFORD"

KOCHA wa timu ya Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa hana mpango wa kuachana na mshambuliaji wake kinda Marcus Rashford.

Kumekuwa na wasiwasi juu ya uhakika wa namba kwa mshambuliaji huyo tangu Manchester United wainase saini ya Lukaku.No comments