Hii ni moja ya kazi tamu sana ya rumba kutoka kwa mwimbaji Jimmy Manzaka akiwashirikisha J Four Sukari na Farbrice Mauzo.

Ngoma hii ya mapenzi imepewa jina la “Coco Chanel”, ikiwa ni  kazi iliyozalishwa katika studio za Soft Records chini ya Pitchou Mechant.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac