PICHA 12: ZANZIBAR STARS SASA YAIKAMATA DDC KARIAKOO


Zanzibar Stars Modern Taarab ambayo imesukwa upya, imeonekana kukubalika kwa kasi ndani ya DDC Kariakoo kila Jumanne  ambapo mashabiki kibao hufurika ukumbini hapo.

Saluti5 iliyotembelea shoo ya Zanzibar Stars kwenye ukumbi huo kwa wiki tatu mfululizo, imeshuhudia namna mashabiki wanavyozidi kumiminika kila wiki ambapo idadi yao imekuwa ikiongezeka siku hadi siku.

Pata picha kadhaa za  shoo ya Jumanne ya wiki hii.
 Wasanii wa bongo fleva H Mbizo na Dully Sykes walikuwepo kufuatilia show ya Zanzibar Stars
 H Mbizo (kulia) akiwa na maproducer kutoka Zambia
 Mashabiki wa Zanzibar Stars wakijiachia kwa raha zao
 Jokha Kassim jukwaani
 Issa Kamongo
 Khadija Yussuf
 Omar Kisila akipapasa kinanda
 Madhari ya ukumbi wa DDC Jumanne usiku
 Mauwa Teggo
 Mosi Suleima
Bi Mwanahawa Ally


No comments