PSG YAGONGA MWAMBA KUMNG'OA COUTINHO LIVERPOOL

MATAJIRI wa klabu ya PSG ya nchini Ufaransa wamegonga mwamba katika mipango yao ya kumsajili kiungo wa Liverpool, Coutinho ambaye anatajwa kuvaa vyema viatu vya Gerrald.

PSG walipanga kufanya usajili wa kushitukiza kumnasa kiungo huyo ambaye Liverpool wamegoma kumwachia.


PSG wanataka kukitia makali kikosi chao ili kiweze kuleta ushindani kwenye michuano ya Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao.

No comments