PSG YAJIPANGA KUTUMA PAUNI MIL 60 MAN CITY KWA AJILI YA SERGIO AGUERO

MABINGWA wa Ligue 1, PSG, wanajiandaa kutuma ofa ya pauni mil 60 kwa Manchester City wakihitaji huduma ya Sergio Aguero.


PSG wanaamini kiasi hicho cha fedha kinaweza kuwashawishi City kumtoa Aguero (29), katika dirisha hili la usajili.

No comments