PSG YAMWEKA KIPORO SANCHEZ

KLABU ya Paris Saint Germains inasemekana kumweka kiporo nyota wa Arsenal, Alexis Sanchez, ambaye ilikuwa ikimfukuzia kwa muda mrefu ili akajiunge nayo.


Taarifa za vyombo vya habari kutoka nchini humo zilieleza juzi kwamba, vinara hao wa soka nchini humo wamefikia uamuzi huo ili kuweza kuelekeza nguvu zao katika vita ya kumwania staa wa Barcelona, Neymar.

No comments