RAIS NYOSHI NA ‘VIJANA’ WAKE …asema mambo mazuri yanakuja


Nyoshi el Sadaat anayejitambulisha kama rais wa milele wa vijana, mchana wa leo alitinga ofisi za Saluti5 na kuahidi kuwa kuna mambo mazuri yanakuja chini yake na kuwataka mashabiki wake wawe na subira.

Mwimbaji huyo aliyejiweka kando na FM Academia, aliwasili Saluti5 sambamba na Jose Mara bosi wa Mapacha Music Band, Petit Mauzo wa Malaika Band na Falcao Mauzo wa FM Academia. Picha haihusiani na ujio mpya wa Nyoshi.

No comments