REAL MADRID YAMWENDEA KIMYA KIMYA DE GEA


REAL MADRID inakaribia kumnasa kipa David de Gea kutoka Manchester United, limeripoti gazeti la Don Balon la Hispania.

Kipa huyo amekuwa akitamaniwa na mabingwa wa Hispania na Ulaya kwa miaka kadhaa sasa na uhamisho wake unaweza kukamilishwa kwa kubadilishana na Alvaro Morata.

No comments