RENATO SANCHES MBIONI KUANGUKA SAINI MANCHESTER UNITED

STAA wa Bayern Munich, Renato Sanches, ni kama ananukia kutua Manchester United, baada ya kuripotiwa kuwa mbioni kumwaga wino kwenye nyaraka za mikataba ya mashetani hao wekundu.


Taarifa zinadai kuwa kwa sasa Sanches anajiandaa kuwatema mabingwa hao wa Bundesliga wakati wa usajili wa majira haya ya joto na wakati wowote kuanzia wiki hii atakamilisha dili hilo la kukipiga kwenye klabu Old Trafford.

No comments