ROMA YAMMEZEA MATE ALBERTO MORENO

BENCHI la ufundi la klabu ya Roma linahitaji huduma ya beki wa Liverpool, Alberto Moreno.


Roma wamejitosa kwa Mhispania huyo baada ya hivi karibuni ofa ya Napoli kutolewa nje na Liver.

No comments