ROONEY ASEMA TAARIFA ZA KUKIPIGA CHINA NA MAREKANI ZILIKUWA ZIKIMSHANGAZA

MSHAMBULIAJI wa Everton, Wayne Rooney amesema kuwa wakati wote alikuwa akishangazwa na taarifa zinazomuhusu kuhamia kwenye Ligi za China na Marekani.


Rooney amekanusha kwa mara ya kwanza na kudai kuwa familia yake haikuwa na mpango wa kuondoka nje ya England hivyo suala la yeye kwenda China na Marekani lisingewezekana.

No comments