SIKILIZA WIMBO MPYA “HABBITY” KUTOKA KWA YUSUPH TEGGOYUSUPH Teggo ambaye ni ndugu wa Omary na Maua Teggo ameachia kibao chake kipya cha bongofleva kinachokwenda kwa jina la ‘Habbity’ ikiwa ni kazi yake ya pili baada ya ile ya awali ya ‘Coco Dilemba’.

‘Habbity’ kilichoko kwenye miondoko inayochezeka zaidi, kimerekodiwa katika Studio za One Records ya Mbagala Maji Matitu, jijini Dar es Salaam, ambazo ziko chini ya produza Abbe Touch.

No comments