KAZI kubwa ya kifasihi imetumika kwenye wimbo “Msitu na Nyika” wa Magereza Jazz Band ambao ni utunzi wake mwimbaji Issa Kamba aliyerindima nao peke yake mwanzo mwisho.

Hussen Mshota unampata kwenye gitaa la bass la wimbo huu, Rashid Juma katika rithim na solo ni Emanuel Joseph.


Kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 80, hii ngoma ilikuwa balaa ambapo ilichangia kwa kiasi kikubwa kuwaongezea ustaa vijana wa Mkote Ngoma ambao ni maafande wa Jeshi la Magereza.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac