STARA THOMAS AJA NA JUMUIA YA UMOJA WA WASANII DUNIANI

MWANAMUZIKI Stara Thomas amesema tasnia ya muziki inaelekea kuanzisha jumuia ya umoja wa wasanii duniani, itakayosaidia kujenga umoja wa wasanii kitaifa na kimataifa.


Stara alisema umoja huo utakuwa na nguvu kubwa kwa wasanii na wasiojiunga hawatatambulika kwenye nchi yoyote, hivyo hawataweza kufanya shoo kwenye nchi yoyote.

No comments