STRAIKA CARLOS BACCA WA AC MILAN ANUKIA MARSEILLE

STRAIKA wa AC Milan, Carlos Bacca,  yupo mbioni kujiunga na klabu ya Marseille ya nchini Ufaransa kwa ajili ya kuwaongezea nguvu  katika michuano mbalimbali msimu ujao.


Habari kutoka nchini Ufaransa zilieleza jana kwamba, vinara hao wa Ligue 1 wanamtaka straika huyo raia wa  Colombia ambaye anatarajia kuitema  AC Milan kutokana na ujio wa wachezaji wengi wapya ili akawasaidie kupigania ubingwa kuanzia msimu ujao.

No comments