TIEMOUE BAKAYOKO SASA NI MALI YA CHELSEA


Kiungo wa Monaco, Tiemoue Bakayoko Ijumaa hii atafanya vipimo vya afya kabla hajakamilisha usajili wake wa kujiunga na Chelsea. 

Mabingwa wa England wamefikia makubaliano na Monaco juu ya ada ya uhamisho na sasa kiungo huyo anahesabu masaa kabla ya kutangazwa rasmi kujiunga na kikosi cha Antonio Conte.


No comments