VANESSA MDEE, NAVY KENZO WATAMBA KUMWAGA BURUDANI MURUA TAMASHA LA CASTLE LITE UNLOCK

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Vanessa Mdee na kundi la Navy Kenzo wametamba kutoa burudani ya aina yake katika tamasha la Castle Lite Unlock litakalofanyika Julai 22, mwaka huu katika viwanja vya Leadears, jijini Dar es Salaam.

Vanessa amesema anafurahia fursa ya kuimba pamoja na rapa Future kutoka nchini Marekani.


Nae Emmanuel Mkono “Nahreel” amesema wamejiandaa vya kutosha kutoa burudani katika tamasha hilo na kwamba mashabiki wanawafahamu kwa kazi zao hivyo wajitokeze kwa wingi.

No comments