ZINEDINE ZIDANE ASISITIZA "SIFIKIRII KUMUUZA GARETH BALE"

KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema hafikirii kumpiga bei staa wake Gareth Bale.


Zidane amedai kuwa staa huyo wa timu ya taifa ya Wales hashikiki hivyo atabaki Bernabeu.

No comments