ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN RASMI MALI YA LIVERPOOL …akataa 180,000 Arsenal, afuata 120,000


Alex Oxlade-Chamberlain ametinga uzi wa Liverpool kwa mara ya kwanza kufuatia kukamilika kwa usajili wake wa pauni milioni 35 kutoka Arsenal.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24, amesaini mkataba wa miaka mitano utakaomwingizia pauni 120,000 kwa wiki.

Kuonyesha kuwa  aliichoka Arsenal, Alex Oxlade-Chamberlain alikataa mkataba mpya Emirates wa pauni 180,000 kwa wiki.


No comments