ALIYEIGIZA FILAMU YA "PREDATOR" AFARIKI DUNIA

MWIGIZAJI wa filamu maarufu ya Predator, Sonny Landham, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.

Taarifa za kifo hicho zilitolewa na dada wa marehemu, Dawn Boehler, akieleza sababu iliyopelekea kifo cha Landham, kuwa ni shambulio la moyo.


Landham anakumbukwa alivyocheza kama ‘Billy Sole’ katika filamu ya Predetor, iliyokuwa na mkali Arnold Schwarzenegger.

No comments