ARSENAL SASA YAMTOLEA MACHO KIUNGO WA UDINESE

TIMU ya Arsenal inaripotiwa kutaka kumsajili kiungo wa Udinese, Jakub Jankto, ili aweze kuwaongezea nguvu kwenye safu hiyo.


Jarida la SportItalia liliripoti juzi kuwa Gunners tayari wameshaanza mazungumzo na nyota huyo na huenda wakamalizana naye ndani ya wiki hii.

No comments