AS ROMA YAANZA KUJISHUKU KWA RIYAD MAHREZ

KLABU ya AS Roma imeanza kumkatia tamaa Riyad Mahrez kwani ina wasiwasi kama klabu ya Leicester City itakubali kupokea pauni mil 31.8 ilizotenga ofa kwa mchezaji huyo.

Kiungo huyo amekuwa akitajwa kutimka katika klabu hiyo ya King Power.


As Roma inataka huduma za mchezaji huyo na inarudi tena na fedha hiyo.

No comments