BARCELONA SASA YAANZA KUSAKA ATAKAYEZIBA "SHIMO" LA NEYMAR

TIMU ya Barcelona inasemekana kuwa inahaha kumsaka nyota atakayeziba pengo la staa wao, Neymar ambaye amejiunga na Paris Saint-Germains.


Gazeti la Marca liliripoti jana kuwa kwa sasa vinara hao wa soka Hispania wameshaanza kumfukuzia straika wa  Borussia Dortmund, Ousmane Dembele, 20, na wa  Juventus,  Paulo Dybala, 23 baada ya Mbrazil huyo kuamua kuondoka.

No comments