Habari

BARCELONA YASEMA OUSMANE DEMBELE ANATOSHA KUZIBA PENGO LA NEYMAR

on

Usajili wa Ousmane Dembele uliovunja rekodi kwa Barcelona, utaipa klabu hiyo makali yatakayotosha kuziba pengo la Neymar aliyehamia Paris Saint-Germain, kocha Ernesto Valverde ameyasema hayo.
Boussia Dortmund imemuuza Dembele kwa pauni milioni 96 pamoja na nyongeza kadhaa zitakazotokana na mafanikio atakayoyapeleka Barcelona.
Mshambuliaji huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 20, anakuwa wa pili kusajiliwa Barcelona tangu Neymar aondoke kwa pauni milioni 198 mwezi Agosti. Mwingine aliyesajiliwa ni kiungo za Brazil, Paulinho.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *