Kiungo mpya wa Manchester United Nemanja Matic aliyesajiliwa jana kutoka Chelsea, hakuwa na muda wa kupoteza na moja kwa moja akajitupa kwenye mazoezi ya timu yake mpya.

Akiwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa inayomfanya atimize miaka 29 kamili, Matic akashiriki mazoezi ya asubuhi sambamba na wachezaji wenzake chini ya kocha Jose Mourinho.
 Nyota wa zamani wa Chelsea Matic na Mata kwenye mazoezi ya Manchester United Jumanne asubuhi
 Matic katika siku yake ya kwanza mazoezini
Hakuna kulala, kazi kazi


USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac