BONDIA AMIR KHAN AMTWANGA TALAKA MKE WAKE KWA MADAI YA KUCHEPUKA NA ANTHONY JOSHUA

BONDIA Amir Khan ameachana na mkewe Faryal Makhdoom, huku staa huyo akidai kuwa chanzo ni mwanamke huyo kuchepuka na Anthony Joshua ‘AJ’.

Khan ametoboa siri hiyo ya kuvunjika kwa ndoa yake kupitia akaunti yake ya mtandao wa twitter, ambapo aliandika: "Kwa hiyo, mimi na mke wangu Faryal tumekubaliana kuachana. 
Kwa sasa niko Dubai. Namtakia kila la heri."


Baada ya ujumbe huo, Khan alipiga picha na kuposti mazungumzo kati ya mrembo Faryal na AJ.

No comments