CHELSEA YAREJESHA MAKALI YAKE, YAICHAPA EVERTON 2-0 …Morata moto chini


Chelsea sasa ipo njema na imerejesha makali yake ambapo imeichapa Everton 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliopigwa kwenye dimba la Stamford Bridge.

Bao la kwanza la Chelsea lilifungwa na Cesc Fabregas kunako dakika ya 27 kwa msaada wa Alvaro Morata.


Dakika ya 40 Morata aliyesajiliwa kutoka Real Madrid akaendelea kudhihirisha ubora wake kwa kukwamisha bao la pili.

No comments