CHELSEA YATESTI ZARI TENA KWA ANTONIO CANDREVA

TIMU ya Chelsea inaripotiwa kujaribu kurusha ndoana tena kwa nyota wa Inter Milan, Antonio Candreva, baada ya kupewa matumaini ya kumpata.


Matumaini kwa Chelsea kumpata staa huyo yamekuja, baada ya Inter Milan kuona staa wa Lazio, Keita Balde, anaweza kuziba pengo lake na hivyo kuwa tayari kumuuza  Candreva  endapo itaweza kuipiku Juventus.

No comments